World War 3: Turkey's Erdogan calls for 'ARMY of Islam' to ATTACK Israel on all sides

Ila Erdogan ajue hata Putin yupo upande wa Israel
 
Hizi pumba za karne nlijua utanambia kafa nani kumbe wanasayansi ambao ni raia wakawaida kama mm na ww sema wao wana taaluma 2

ISRAEL Hana Uwezo Wakumtwanga IRAN Hatakama Ataambiwa Hafi

Wanasayansi wanalindwa na nani ?!
 
Israel naye jeuri yake hadi asapotiwe na bwana wake USA.
There is no Great USA without Israelites.

Kama ni msomaji na mfuatiliaji wa habari sahihi utaelewa.

Ila kama ni msomaji tu wa yale maandishi ya kutoka kulia kurudi kushoto hutaelewa chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…