Bensonpeace
JF-Expert Member
- Jun 2, 2017
- 564
- 443
Ila Erdogan ajue hata Putin yupo upande wa IsraelInaweza kua ndio WWW 3 ... Vita hii ni lazima Mrusi na mchina watakua upande wa Turkey..
Uku wamagharibi wakawa upande wa Israel.
Kama kunatukio litakaloweza sababisha vita ya tatu ya Dunia..ni LAZIMA LITAKUA LINAANZIA ISRAEL
Maana katika maandiko, ukimsoma Ezekiel , ametabiria ilo!!!