World’s Safest Car!

mbona maustadh wanakagua sijui ndio wanataka kuuziwa..
 
Hiyo gari iko chini balaa.
itafaa kweli kwa barabara kama zetu?
Na haya mabamsi yalivo makali, litapita wapi?
 
Vipi haligongeki? Hebu walilete hapa Dar lipishane na daladala mara mbili tatu ndio watuambie. Hapo ni hata kama lina air bags kila mahali.
 
Aliyeweka picha hajasema (1) gari imetengenezwa na kampuni gani na (2) kwa nini gari hiyo ni "world's safest car". Mimi naona picha tu, zinazingua bila INFORMATION!
 
Hili mbona liko humu kitambo, hili ni gari lililobuniwa na Ghadafi.
 
La kwangu kama hilo limekwamia bandarini. Wana wivu watu wa bandari nyiee.....!
 
Vipi haligongeki? Hebu walilete hapa Dar lipishane na daladala mara mbili tatu ndio watuambie. Hapo ni hata kama lina air bags kila mahali.

ikutane na mDCM wa mbagala una mabomba kama mlango wa jela
 
Hiiyo picha ya pili, jamaa wa uniform si mpambe wa Dr. Jk? Au ni mimamcho yangu tu?
 
Safest cars on world standards are made by Volvo. No company has managed to beat them for the last 20 years consecutively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…