Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,904 Reaction score 1,364 Jun 10, 2010 #1 Kuna mtu kanipigia simu kuniuliza kama ITV wataonyesha world cup live mechi zote? Kwa kweli nimeshindwa kumjibu eti itv wametangaza hayo? Wenye habari kamili tujuze maana nimeingia kwenye wavuti ya ITV nikakuta schedule ya week inayoanzia 8 may!
Kuna mtu kanipigia simu kuniuliza kama ITV wataonyesha world cup live mechi zote? Kwa kweli nimeshindwa kumjibu eti itv wametangaza hayo? Wenye habari kamili tujuze maana nimeingia kwenye wavuti ya ITV nikakuta schedule ya week inayoanzia 8 may!
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Joined Jul 30, 2007 Posts 1,408 Reaction score 163 Jun 10, 2010 #2 Hawaja tangaza kwamba wataonyesha meshi zote za kombe la dunia bali watakuwa wanafanya uchambuzi baadhi ya michezo itakayo chezwa.
Hawaja tangaza kwamba wataonyesha meshi zote za kombe la dunia bali watakuwa wanafanya uchambuzi baadhi ya michezo itakayo chezwa.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,649 Reaction score 7,133 Jun 10, 2010 #3 this world cup 4 Tanzania only will be TBC2.