Kwa wale wapenzi was soka kama mnavyojua mwaka huu kule urusi yale mambo yetu yamerejea tena.
Ningependa Uzi huu tubashiri nani atakuwa mbabe dhidi ya wenzake.
Ningependa pia tuweke na sababu za kwanini umemchagua mbabe huyo,mfano aina ya wachezaji,mbinu,kocha historia n.k
Karibuni.