chuji, na bocco wangeng'aa wangekuwepo kwenye ile timu? are you serious?
Kumbuka maradona alikuwa habebwi na wale, isipokuwa yeye ndiye aliyekuwa anawabeba wale ma star. Messi hakuna kitu amecheza soka kipindi soka limeenda chini, eti super-stars neymar, CR 7, Rooney, hahahahahaha..........
Ni kufuru kumfananisha Maradona na Messi
ebana hii mechi imeanza kuwa nzuri dakika 30 za nyongeza... Matuta hayooooo yanawadia..Bye Bye #TeamHolland na LVG wenu kajiandaeni kugongwa mengi old Trafford.
Hii change imekaaje? Hawamuamini kipa number 1?
T. Krul ni mtaalamu wa kudaka penati..
​WOW!!!! What a game!!!!
T. Krul ni mtaalamu wa kudaka penati..
Hakuna haja wala umuhimu wa kufungua mabandiko mapya kwa kila mechi...Hii post kila nikiweka inaondolewa !
... nadhani kuna haja ya kuweka utaratibu wa kupost kuhusu mechi zinazocheza wakati husika badala ya kuunganisha WC in general.
Ni ujinga !