Kazi kweli kweli. Yani Africa hamna tunachoweza. Daa, mpaka inatia huruma wakati mwingine, kama jana wale jama wa vuvuzela wameboa kwakujionyesha wanajua soccer la brzil. Mungu tusaidie manake Weupe wanazidi kuprove fikra zao kuwa African are disabled
Kweli miafrica ndivyo tulivyo,hatujui wapi panafaa kufanya nini,nanai anamkumbuka Fadiga wa senegal mwaka ule alivyoiba mkufu dukani wakati wa fainali za kombe hihili? EE mola tusaidie tujitambue.