Perreira alijiangusha mwenyewe mapema kwa kumuacha mzoefu Mc Carthy bila sababu yoyote...............Pia ni bora angemuita mkongwe Sibusiso Zuma..............Hawa wadogo angewatumia tu kwenye Confederation wajitangaze badala ya kutumia WC kujiuza.............