Mkuu shemeji yako alikuwa na furaha leo tangia asubuhi,hata kazini alirudi mapema kwa ajili ya mechi.Sasa alikuwa na uhakika watashinda na tulikubaliana baada ya mechi tutoke,halafu tukirudi anifurahishe,manake ana kelele kama ngedere...Sasa wapi wa dutch wameharibu utamu wote.Ameshalala,sasa nacheki gemu la Italy.