itachukua muda kuwasemehe.....hawa watu wamenipa maumivu makubwa kuliko bayern beating man utd,just imagine......by the way PWEZA katabiri ushindi kwa mjerumani.....
usiwe na wasi wasi mkuu lile pweza kesho lina aibika,limeenda kutabiri spainalafu kajifanya kama yuko 100% percent sure wala hakufiria kaenda moja kwa moja kukumbatia Spain.
Kesho anakosa kibarua cha utabiri kitu kinaenda Amsterdam lol.
mkuu una masaa chini ya 24 kubadili msimamo wa ushabiki. nakuhakikishia kesho mdachi anarambwa si chini ya 3. kama utabaki upande wa mdachi ningekushauri uweke ka chupa ka panadol pembeni . kesho ni fulu maumivu