Mie nashangaa maana Brazil ndiyo timu ina wapenzi wengi duniani ikiwemo Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile duniani, lakini cha kushangaza hapa wenye furaha ya kufungwa kwa Brazil ni wengi mno kuliko inavyostahili. Je, kuna wengine wanangoja kipyenga cha mwisho ili waanze kushangilia timu ambayo ni mshindi?