World bank-IT assistant

newbie

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
216
Reaction score
48
Ningependa kujua mishahara ya hawa watu kwa level ya IT Assitant, Tulifanya interview kama wiki mbili zilizopita sasa je, kuna aliyeitwa au anayejua wataita lini?
Asanteni wakuu
 
ningependa kujua mishahara ya hawa watu kwa level ya it assitant, tulifanya interview kama wiki mbili zilizopita sasa je, kuna aliyeitwa au anayejua wataita lini?
Asanteni wakuu

daa swaiba umepiga tuu interview....ushaanza kuulizia mishahara.....subili majibu ya kuitwa kazini ndo uanze kuulizia salary....kaka
 
daa swaiba umepiga tuu interview....ushaanza kuulizia mishahara.....subili majibu ya kuitwa kazini ndo uanze kuulizia salary....kaka
hahhahah si unajua kiherehere? anyway I just pray niitwe kazini.
 
Hongera newbie kwa interview, endelea kuomba uitwe kazini mambo ya mshahara achana nayo kwanza but kwenye kusaini mkataba wasikupe chini ya 1M.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…