Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
NASHANGAA,mmmh hao wako nao jameni......au ulibase kwa wa aina moja tu labda!!!
mmmh hao wako nao jameni......au ulibase kwa wa aina moja tu labda!!!
amebase kimjini zaidi.mmmh hao wako nao jameni......au ulibase kwa wa aina moja tu labda!!!
I dont say soooooo
wewe unasemaje..........for those who dare to come up openly and say what is in dem minds!!I dont say soooooo
NASHANGAA,
je wale wadada wa kule namanyere, mpitimbi, mtakuja, etc!, wanafahamu maneno hayo???
heheheheh!I dont say soooooo
What do you say instead?
mmmh hao wako nao jameni......au ulibase kwa wa aina moja tu labda!!!
kuna jamaa aliyejiweka kwenye takwimu, akasema wa kwake huwa anamtukania mama yake.....for some reason wote tukakubaliana huo ni uwendawazimu na ampeleke akapimwe akili.Umependa leo kutamka maneno hayo, hao wanaokuambia hayo ni wahindi au wamarekani au waingereza. Ng'wakitolyo hawasemi hivyo. Wanagugumia tu, wapole ajabu.
Leka
hahaaaaa na Bujibuji aseme hapa sio mnamnail lulu tu hapa!!!
abadilishe ladha apate vionjo tofauti na hivyo......afu na yeye huwa anasema nini wakati wa game??? weka wazi Bujibuji...
hahaaaaa na bujibuji aseme hapa sio mnamnail lulu tu hapa!!!
.....yawezekana wale wa Ohio......!
BWT: .....Hongera bibie kwa kuwa PM......ID yako mependeza sana....!