M moko Member Joined Apr 9, 2011 Posts 57 Reaction score 2 May 4, 2011 #1 shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje?
shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje?
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 May 4, 2011 #2 Hard disk yako imejaa haiwezi ku-accomodate processes kubwa kama hizo. Free some space kwenye hiyo hard disk yako au ongeza/ upgarde hard disk.
Hard disk yako imejaa haiwezi ku-accomodate processes kubwa kama hizo. Free some space kwenye hiyo hard disk yako au ongeza/ upgarde hard disk.
M moko Member Joined Apr 9, 2011 Posts 57 Reaction score 2 May 4, 2011 Thread starter #3 mzee hard disk ina zaidi ya gb 12 kwenye user C nina zaidi ya free gb30,inaweza ikawa ndo shida?defrag.entation nimefanya pia nayo haijasaidia
mzee hard disk ina zaidi ya gb 12 kwenye user C nina zaidi ya free gb30,inaweza ikawa ndo shida?defrag.entation nimefanya pia nayo haijasaidia
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,824 Reaction score 1,291 May 4, 2011 #4 Jaribu maelezo kwenye hii site "There is not enough memory or disk space to run word" error message when you start Word 2000
Jaribu maelezo kwenye hii site "There is not enough memory or disk space to run word" error message when you start Word 2000
Zing JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 1,767 Reaction score 470 May 4, 2011 #5 moko said: shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje? Click to expand... Ongeza virtual Memory . Google neno how to increase virtual memory. It might solve your problem
moko said: shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje? Click to expand... Ongeza virtual Memory . Google neno how to increase virtual memory. It might solve your problem
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 May 4, 2011 #6 uninstall then install upya hiyo program
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,760 Reaction score 22,065 May 4, 2011 #7 fanya complete unstall ya office alafu nenda kwa program file then delete folder ya microsoft office kisha anza upya installation
fanya complete unstall ya office alafu nenda kwa program file then delete folder ya microsoft office kisha anza upya installation
M moko Member Joined Apr 9, 2011 Posts 57 Reaction score 2 May 4, 2011 Thread starter #8 Never give up said: fanya complete unstall ya office alafu nenda kwa program file then delete folder ya microsoft office kisha anza upya installation Click to expand... wakuu nikiunstall nahisi itakula kwangu kwasababu sina cd au hyo program sina na itakua ngumu kuipata,labda hebu nipeni ujanja zaidi
Never give up said: fanya complete unstall ya office alafu nenda kwa program file then delete folder ya microsoft office kisha anza upya installation Click to expand... wakuu nikiunstall nahisi itakula kwangu kwasababu sina cd au hyo program sina na itakua ngumu kuipata,labda hebu nipeni ujanja zaidi
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,760 Reaction score 22,065 May 4, 2011 #9 nenda kwa btjunkie - the largest bittorrent search engine au Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site utapata hadi off2010 bure, ila mimi nitakupatia 2003 bure + key but nipo dar
nenda kwa btjunkie - the largest bittorrent search engine au Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site utapata hadi off2010 bure, ila mimi nitakupatia 2003 bure + key but nipo dar