Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,520 Reaction score 6,921 Jul 31, 2021 #21 Mechanical said: mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani Click to expand... Duh we mtu wa wapi hujui hata kiswahili chako
Mechanical said: mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani Click to expand... Duh we mtu wa wapi hujui hata kiswahili chako
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,638 Reaction score 109,068 Jul 31, 2021 #22 Mechanical said: mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani Click to expand... Mfano kama hiyo pichani, unauzaje?
Mechanical said: mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani Click to expand... Mfano kama hiyo pichani, unauzaje?
Mechanical Member Joined Oct 20, 2020 Posts 83 Reaction score 146 Aug 1, 2021 Thread starter #23 makaveli10 said: Mfano kama hiyo pichani, unauzaje? Click to expand... Hiyo ya pichan ningeuza Lk3 sababu ni ya wireless
makaveli10 said: Mfano kama hiyo pichani, unauzaje? Click to expand... Hiyo ya pichan ningeuza Lk3 sababu ni ya wireless
Mechanical Member Joined Oct 20, 2020 Posts 83 Reaction score 146 Aug 1, 2021 Thread starter #24 Abuu Kauthar said: Duh we mtu wa wapi hujui hata kiswahili chako Click to expand... Hahahahaaa mi ni MTZ. ndio hiv mkuu najifunzia humu humu maneno mengine 😁😁
Abuu Kauthar said: Duh we mtu wa wapi hujui hata kiswahili chako Click to expand... Hahahahaaa mi ni MTZ. ndio hiv mkuu najifunzia humu humu maneno mengine 😁😁