Mechanical
Member
- Oct 20, 2020
- 64
- 95
sorry mkuu. picha ndio hiyo hapo ila video inaukubwa kidogo nashindwa ku upload.Picha mkuu
sorry mkuu. picha ndio hiyo hapo ila video inaukubwa kidogo nashindwa ku upload.
View attachment 1866916
Mkuu nimefurahi sana kuona kazi yako, mimi mwenyewe nilitengeneza ya kwangu kwaajili ya euro truck sim2. Ntakuonyesha kazi yangu mkuu pia tunaweza shirikiana mkuu mimi natokea Arusha.sorry mkuu. picha ndio hiyo hapo ila video inaukubwa kidogo nashindwa ku upload.
View attachment 1866916
Good brother amna shida tuko pamoja, namba yangu ipo hapo, kuna watu wana map za gali ndogo ndio niko najaribu kuzitafuta nione kama nazo zinafaa kutumia H-shifterMkuu nimefurahi sana kuona kazi yako, mimi mwenyewe nilitengeneza ya kwangu kwaajili ya euro truck sim2. Ntakuonyesha kazi yangu mkuu pia tunaweza shirikiana mkuu mimi natokea Arusha.
Ndio mkuu zipo, nilijalibu kufanta tafiti nikajua kuwa wanazo lakin vyuo vyetu vya udereva changamoto nyingi sana. Mnajifuza class alama za balabalani kama week 2 hiv then mnaingia road, mnatumia gali moja wanafunzi 40 kila mwanafunzi anatembesha kwa dk 2 na ukizingua tisha anakutoa kwenye mstering sasa utajuaje kama umeweza kutembesha gali kwa dk 2, na ndio maana kwa vehicle wengi wanaferi sana practical kuliko theory.Siku hizi kuna simulator za malori
Pendekezo la bei kwangu naanzia laki3 kwa ya wireless na 2na nusu kwa wired. Na hiyo bei ni ya chin kabisa kulinganisha na bei ya sokonBei bei bei bei
Poa jitahidi mkuuGood brother amna shida tuko pamoja, namba yangu ipo hapo, kuna watu wana map za gali ndogo ndio niko najaribu kuzitafuta nione kama nazo zinafaa kutumia H-shifter
Kwa maelezo haya nakupinga 100%Ndio mkuu zipo, nilijalibu kufanta tafiti nikajua kuwa wanazo lakin vyuo vyetu vya udereva changamoto nyingi sana. Mnajifuza class alama za balabalani kama week 2 hiv then mnaingia road, mnatumia gali moja wanafunzi 40 kila mwanafunzi anatembesha kwa dk 2 na ukizingua tisha anakutoa kwenye mstering sasa utajuaje kama umeweza kutembesha gali kwa dk 2, na ndio maana kwa vehicle wengi wanaferi sana practical kuliko theory.
Pendekezo la bei kwangu naanzia laki3 kwa ya wireless na 2na nusu kwa wired. Na hiyo bei ni ya chin kabisa kulinganisha na bei ya sokon
Ni aina hiyo ya joystick mkuu. Kuanzia sterling wheel, pedal na gia yakeWeka vitu vyote unavyouza laki 3
Asante sana kwa kunielewa 👏🏾Kwa maelezo haya nakupinga 100%
Ni aina hiyo ya joystick mkuu. Kuanzia sterling wheel, pedal na gia yake
mimi nipo mbeyaUpo wapi?
mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu ganiMathalani kama hiyo, bei inaendaje?