,Nyumbakubwa hajatueleza inakuwaje nyumba yenye panya?
kama mwanamke ambae hajichokoi huko na ile harufu ipo tele
kalala usiku bila kuvaa chupi? lol
hivi mtu anatumia hivyo ili anukie afurahi au ili amridhishe mwanaume?
Anyway harufu natural ina raha yake Mtambuzi....
,
Sidhani kama kuna kuwa na harufu kihivyo kama hauna fungal infection. Sijui lakini hatuko sawa, na hata wanaume hawako sawa.
mbele ya panya?
nyumbakubwa hajatueleza inakuwaje nyumba yenye panya?
kama mwanamke ambae hajichokoi huko na ile harufu ipo tele
kalala usiku bila kuvaa chupi? lol
a mild cologne is always nice. Try euphoria by cK, ama play by givency. And dont overdo it. Ila udi nao, mi nikiskia harufu yake i presume mtu anaficha uchafu na naskia kutapika kabisa. Sijui labda sijazoea hang na watumiaji wazuri
NImeshatumia Euphoria ikanishinda...kwa sasa nina COCO Mademoiselle nadhani ntampa mama yangu soon.
Nimeamua kuanzia sasa naanza kutumia perfume za kiume...nadhani hilo ndio suluhisho...kwa sababu sijwahi ku tolerate perfume yeyote ya kike. Nilishawahi ugue athma nikiwa mdogo...kwa hiyo kwa sasa ni full allergy.
loh nilijua ni mie tu ambae udi unanichefua akili.....
Yaani mtu akipaka namwambia akae mbali na mie......
Ikishindikana nahama.... La sivyo hapatakalika i hate udi
Natural smell ya K, Mbunye, V, P n.k. inahamasisha sana and it keeps you going and going and going :whoo:
Acha tutumie tumie kidogo, manukato nayo yana raha yake. Lol
mmmhh, kuna udi na udi.
Ungekuwa karibu ningekuonjesha.
Au jaribu wa AJMAL, na usi-over do
Kongosho hapo umenena. Na mtumiaji lazma ajue pia kuna udi waelfu 10 hadi wa laki1. Kama zilivyo perfums hatutegemei ya laki1 iwe cheap cheap.So inategemea amepata harufu ya udi wa Ajmal au ule unaotengenezwa(imitations) vichochoroni Malindi(Msa)
Zamani ilikuwa tunapata matamanio ya kuwapanda wenzi wetu kutokana na wito wa harufu ya heat period, lakini siku hizi manukato yameharibu sana huwa tunabahatisha tu.... Haiyumkini wale wadada wasaidizi wa ndani huwa wanabakwa na wababa wenye nyumba kutokana na wito wa harufu zao za heat period, halafu munawalaumu waume zenu..
Punguzeni manukato jamani..LOL
Madam,sasa ndo umegundua siri ya urembo. With men's perfum u've stepped into the world of beauty. Just use them na utagundua siri ya urembo iliyojificha ndani yake. Next time jaribu Aqua di Gio ya Giorgio Armani,km uko asthmatic this ur stuff.
natamani ningekuwa na sensor ya kudetect wanaotumia na wasiotumia.
Wakati kuna watu wanapigisha hadi miswaki na colgate.
Thank you so much. Nilikuwa nafikiria ntaanzaje...maana natamani kuwauliza wanaume wanaonukia wanatumia nini...lakini nilikuwa naogopa wasije dhani nimewazimikia. Kuna perfume za kiume zinanukia utadhani ndimu si ndimu...so sweet. Ntanunua nitumie na mume wangu.
Nilipanga kwenda kufanya research ya kunusa kwanza madukani. Lol.
Mhhhh! hii kali duh!