Women In Social entrepreneur ( WISE)

kalikumutima

Senior Member
Oct 9, 2014
147
46
Wasalaam wanabodi.Naomba kufahamishwa juu ya ustawi wa NGO tajwa hapo juu.Nimefanya usaili leo pale landmark hotel ubungo nilipotaja expectation yangu ya mshahara wakaonesha kushtuka wakati nimetaja below 1.3m.kwa anaejua wafanyakazi wake vipi wanafanania kama wana neema ya kuwa ktk NGO hiyo?Nawasilisha
 
Back
Top Bottom