Women Drivers

hahaha. Hiyo nayo kali
 
Wanapaki magari vizuri maana mengine ya melala mengine yanafanya mazoezi eeee hawa sijui wawapi lol!
 
duh, kuna ishara yyte kwamba ni women hapo?
 
Alafu wanawake wako makini sana na magari coz wanaogopa ajali mbaya
 
yanaselebuka, yamesha pata ulabu.
 
penye ukweli uongo hujitenga. kati wa wanawake na wanaume nani yuko na driving makini? acheni hizo vidume nyie eboooooo!
 
Naamini ghadafi hakuwa mjinga kuwa tumia hawa mama zetu ,acha kupotosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…