Women cheat for love

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
164
Reaction score
365
Mambo vp wanaJF.
Wakati tunamalizia siku ya wanawake duniani napenda kuwa pongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao, watoto wao au familia zao wanapata mahitaji Yao. Jambo moja for sure nataka kulileta kwenu Mwanamke akipenda anapenda kwel kwel jaman na mwanamke akisema it’s over na watu waliokuwa kichwa. Pake wakakubali ndugu yangu hapo ujue hata kuja kukupenda tena au the same way she used to love u. Moyo wa mwanamke n kwel umeumbwa kupenda na kwel wanapenda jaman na mwanamke akiamua kucheat kweny mapenz kwel imefikia level of extremity where she can’t take it anymore maana yeye akienda huko amepeleka kila kitu moyo , akili , roho na mwili tofauti sana na sis wanaume maana sis tunaweza cheat kwa nyegelo zetu tu tukapga goli moja au mbili fresh kabsaa na kurud zetu kwa wake zetu kimya kimya na Upendo ukawa pale pale ila kwa mwanamke akimua moyoni kwel kucheat aisee ataingia mwili mzima hata Viatu haachi nje hapo ujue ameshaondokaa Moja kwa moja hata km ulikuwa na liborooo kubwa kabsaa bado halitamfanya arudi nyuma....Guys let be careful with our woman...they deserve respect, honor , love , care and passion.... strength of woman#hii ni kwa wanawake wa chache wanaotambua mapenz ya kwel na sio pesa au muonekano wa mtu#
 
Ukitaka kufa mapema mfurahishe mkeo kama anavyotaka. Sijagusia wachumba na nyumba ndogo ksb hao hawana uzito wowote.
 
Hiyo ni haiba yetu. Hatujaumbwa kumiliki mwanaume Zaid ya mmoja and once ukiona gal wako kakucheat ujue kafata mapenzi
Not all the time. Sometimea ni tamaa tu. Mfano: my ex alianza kucheat pale ambapo alipogundua kua nimefukuzwa kazi.. ni kipindi ambacho nilimuhitaji sana lakin akanigeuka na kuwa mwiba. Ilikuwa akinikumbuka ni siku ana shida na pesa.

Kivumbi ni pale nilipokuja kupata kazi nzuri, nilifanikiwa sana. Na yeye akaanza kurudisha majeshi ...akajifanya ananijali sana. Nikamtupilia mbali.

Sasa embu niambie dada. Huyo alifanya hivyo kqa ajili ya mapenz au tamaa?
 

Hahaa ukaamua umzime
 
endelea tu kuamini hivyo hivyo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…