Women are right

Asaaaaaaante!....#illuh , this need to be 'sticked' hapo juu kwenye topic starter...lolz!
 
uliyosema ni kweli. Ila hutakiwi kuwa kwenyw extremes, jaribu kutafuta balance ya kutomfurahisha mwenzio kupita kiasi and at the same time don't ignore him.

As the saying goes...Kuishi na ME kazi!
 
If a woman cheat she's a w**re, if a man cheat he's whole
 
Not true. Hatuko hivyo bana mnatusingizia. Kwasababu nyie mnapenda kulalamika saaana.
 
Not true. Hatuko hivyo bana mnatusingizia. Kwasababu nyie mnapenda kulalamika saaana.

Wana matayizo sana hawa viumbe, hiyo yote ni kwasababu hawajiamini. Ukiwataka wafanye wajibu wao - means playing their role wanasema you are taking them for granted.

Hawajitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…