Muhammad (Pbuh) is a messenger of Allah, the creator of the universe, the man is so pure has nothing to doing with your allegation, those are mere lie, arrogance and stupidity.
labda hii unaweze iamini au utasema ni agent wa wamarekani tena
http://english.aljazeera.net/news/middleeast/2010/02/2010219555454789.html
Tuma kuna problem katika hili kama memory yako iko sawa thread mbalimbali zilizokwishapita proof kadhaa kutoka katika kitabu chenu kuwa the guy was not as nice as your trying to say instead as evil as his followers are portraying his character, ideologies and philosophies in his own book. So far tutakuwa tunakuwa tunaweka reference tu.
Are you trying to say America soldiers (christians) killings in Iraq portray what their book says
Are you saying UK soldiers, US and Allies (christians) killings in afghanistan portray what their book says..
Stop double standards and come to reality people are fighting for injustice brought about by evil occupations and killings of their kids and their loved once..until they stop ..resistance is sacred thing for a man with integrity
Tumaini
American army is composed of christian, muslim, hindus, jews etc why are you so negative about Americans?
Gallileo gallilei ambaye anatambulika kama baba wa sayansi aliitwa mbele ya kanisa na kuamriwa akanushe kauli yake kuwa ''dunia inazunguka jua'' na atangaze kuwa maandishi ya bible ndio yako sahii kuwa ''jua ndilo linalozunguka dunia''Tutaamininije kuwa huyo allah ndio aliye umba huu ulimwengu?
Je! Sio yeye aliyesema katika kuran kuwa jua huzama kwenye kijito chenye tope jeusi!
Je! kwakusema kuwa Jua huzama kwenye tope JE! ntashawishika vipi kuwa allah atengeneze kitu asicho jua Jiografia ya darasa la nne kuwa Dunia huzunguka jua na dunia ujizungusha yenyewe!!
Kwanza ukifatilia hapa nikama mnajichanganya tu!! maana ukichunguza hauto elewa who is allah and who is god maana hapa ni kama mchanyato hakuna kinachoeleweka.
Kama hauiamini fatilia lazima utapata tofautio ya allah na God yaani Mungu.
Ndio maana Waislam hawatumii neno Mungu hata kama wanatumia kiswahili na hawatumii neno God hata kama wanatumia kiingerea nadhani hapo mtaelewa.
Allegations without proof! is as good nonsense, irresponsible, lie, arrogance and stupidity..
Muhammad is a Messenger of Allah, the creator of universe and earth.
Gallileo gallilei ambaye anatambulika kama baba wa sayansi aliitwa mbele ya kanisa na kuamriwa akanushe kauli yake kuwa ''dunia inazunguka jua'' na atangaze kuwa maandishi ya bible ndio yako sahii kuwa ''jua ndilo linalozunguka dunia''
sijui huyo JEHOVA naye atakuwa hajaenda shule!!!
Acha uzushi ndugu Tumain, kama huyo Allah angeumba universe angejua angalau jua kama lanazama au halizami! Kama linazama linazama wapi? Eti yeye anadai "jua linazama kwenye tope!"
They dont know what's the different between terrorism and freedom fighting.The biggest problem with our christia fellas is that,globalization,imperialism and americanisim is part of their belief(christinity)...Anything that goes antamericanism is against their belief.Are you trying to say America soldiers (christians) killings in Iraq portray what their book says
Are you saying UK soldiers, US and Allies (christians) killings in afghanistan portray what their book says..
Stop double standards and come to reality people are fighting for injustice brought about by evil occupations and killings of their kids and their loved once..until they stop ..resistance is sacred thing for a man with integrity
Proof! from the authetic source the Qur'an please.
Vinginevyo utakuwa mzushi na aibu ndugu kwako..usifurahishe baraza hulazimishwi kuwa muislamu lakini kwanini useme uongo?
"Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema." (Quran 18:86).
Tumain naona brain yako imejaa mapepo na idea za kuzimu
Muone Mwakasege tafadhari.
Mtego kakuwekea allah,akunusuru vipi tena yakhe?Ha ha ha niende kwa Mwakasege ndio mungu wako? naomba Allah aninusuru na hayo
Embu elezea umeelewaje hii sura? maana sioni tatizo lolote hapo....au fikra mgando zinakusumbua
Kuna mwanamke ameua zaidi ya 40 pilgrims huko Iraq.I guess atakuwa ni Sunni amewatarget Washia.
Tuone jamani kama serikali za kiislamu zitalaani huu uuaji.Wasije wakasemaJews ndio wamefanya hivi.Hapa JF kuna kuna watu wako obsessed na Jews;kumbe many killings za Waislamu ni wao kwa wao.
Kama Ulaya kuna issue ya Minareti,utaona hata fatwa inatolewa.
Lakini kiliings ya watu hapo Iran na woman suicide bomber,no any Muslim counytry will condemn this.
Ndio maana nchi za Ulaya zinaogopa burkha kwa wanawake hujui wameficha nini humo!