Wolrd top 10 Modern Fighter AirCraft

Mkuu hizo sio meaningless terms . kama ni muelewa wa hivi vitu basi utajua kuwa 5th generation fighters ndio habari ya mujini. Rusisia in conjunction with India, China and USA ndio wanazo hadi sasa.
 
iyo T50 is still in development na hiyo F22 ni the worst fighter hadi usa wame canceal utengenezwaj wake!!
Worst?? In the current world hakuna any fighter plane more superior to f-22 raptor. And second in comparison ni f-35 lightning II. After that maybe Russian T50 and Chinese chengdu J20
 
F22 raptor.. Khatareee.. Inanifanya namkumbuka yule dinasour anaitwa VELOCIRAPTOR
 
Mkuu umesahau kuhusu chengdu J20. Hii ndio inalinganishwa na F22 RAPTOR na PAK FA(T50)
 
F22 raptor.. Khatareee.. Inanifanya namkumbuka yule dinasour anaitwa VELOCIRAPTOR
Hio kitu na hatari mkuu hadi marekani wamechomoa kuuzia nchii yoyote. Israel, Australia, Canada walikuwa na interest na hii kitu lakini marekani wamechomoa. Instead wameamua kutengeneza F 35 lightning II ndio watauziwa nchii zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…