" Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini"Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini ni kuwa kuna bwana Mcongo anampunga balaa, anamwaga madolali, sasa bwana alimtumika Steve Nyerere kumpata Wema. Ninavyosikia share ya Steve ilikuwa $500, akafikisha ujumbe na mambo yaliandaliwa date iwe ile siku Wema alikuwa na show akachukua ukumbi wa King Solomon. Mzee alishukua hoteli moja mjini na bidada aliambiwa aende.
Idris alinusa mchezo mchafu, kwani bidada alitaka akavalie nguo kwenye hiyo hoteli, Idriss alimwambia bibie leo tunakwenda wote, wamefika hotelini ilibidi Wema achukue chumba cha pili na danga likalipia, sasa wakati wanatoka Idriss aliona sivyo ndivyo danga likiwa linasubiri kwenye corridor Idriss alimpiga denda bibie ndio hapo negative ilipoungua, akadai "we Idriss acha uchokozi ndio nini". Danga kuona vile akamwaga manyanga na kurudi nyumbani Idriss aliona isiwe shida. Ndio sababu ya Miss Tanzania 2006 kuugua ghafla juzi.
Danga liliishia kujiopolea Wolper, nae kumbe alikuwa amejiegesha tu kwa dogo. Sasa miss anaumeia madolali yanakwenda kwa Wolper.
Whats app number d.pHii ni Snapchat ya Wolper?
Sijamuadd pande hizo
Kwahiyo ndio anamuweka jamaa kwa DP?Harmonize je?Whats app number d.p
maskini hamonize,ngoja nisubiri anaeza akatunga wimbo mkali kwa kupigwa kibutiIlikuwa panadol tu ile, wenye pesa wamechukua kifaa. Tena ninasikia generali ana mke na bidada ameambiwa ajiheshimu kwa jambo hilo first wife is very much a wife na mchepuko ni mchepuko tu.
Sikuhizi wameacha kuigiza! wanaigizia instagramDuh hao wanawake wa bongo movie kweli wanaweza kuigiza
Namimi nilisikia hivyo ingawa haikuniingia akilini kabisa yaaan kisa ngosha na mkwele?Ngoja nijifunze umbea
Mbona nasikia eti aliugua kwakuwa bepari upara kawa mkalia kiti cha chama?
Halelewi yeye ndio alimpa hifadhi dadayako! alikuwa anaishi gest sijui lodge au hotel hana kodi wala gari! Labda ameshapata pumzi atatega mitegovyake vzr naekwahiyo harmonize analelewa??
HahahaNamimi nilisikia hivyo ingawa haikuniingia akilini kabisa yaaan kisa ngosha na mkwele?
mbona jaq alikuwa na nyumba mikocheni b,jirani dolphinHalelewi yeye ndio alimpa hifadhi dadayako! alikuwa anaishi gest sijui lodge au hotel hana kodi wala gari! Labda ameshapata pumzi atatega mitegovyake vzr nae
Nae ana nyota ya Kinshasa! Si alisema mkongo alimfilisi kamwacha matako wazi yaan hana nyumba wala gari analala hotelini! Mpaka Harmonize alipompa hifadhi kama umoja wa mataifa unavyohifadhi wakimbizi! Au ni mwingine mcongo?
Halelewi yeye ndio alimpa hifadhi dadayako! alikuwa anaishi gest sijui lodge au hotel hana kodi wala gari! Labda ameshapata pumzi atatega mitegovyake vzr nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]" Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini"
mod tunaomba waongezee jukwaa