Yawezekana hajawaelewa wale vijana walioimba "anatembea na dumu la petroli" kwa hiyo ameamua kujilipua!Hawatumii kondom aisee!! Dogo jasiri sana.
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”
Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:
“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
Kwani kumzalia mtu mtoto ndio ishara ya kuonyesha kuwa umefika,bado inaonyesha hajitambui na mapenzi hayajui anavamia tu na anahisi huko ndio kupenda.Kwa umaarufu aliokuwa nao angepaswa kupata ushauri kutoka kwa watu kama Chris Mauki ili afanye maamuzi yenye hekima kuliko ku kurupuka.MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”
Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:
“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
Hii ni taarifa njema sana kwa akina njomba nchumari wote hususani maaeneo ya masasi,nachingwea,newala, maeneo ya ndanda nk
"...akiinama nchale,ikisimama nchale,akigeuka nchale..."