Mh! sasa huo ulikua mpango au? ina maana alilipa nauli ya watu wawili ili apate njia ya kuiba? au walipanga na konda na dereva? kumbuka hii ndio Dar, unatakiwa kuwa makini sana. Pole kwake.
asante mkuu. usalama upo? mnaruti ya nyanda za juu kusini? (iringa, mbeya?)
na nafikiri alimfatilia huyo dada kabla hata hajapanda basi.
wakati mwingine wakikuona na kitu cha dhamani afu wakakuta gari uliyopanda imejaa, wanapanda basi jingine linaloongozana na nyie mkiingiia sehemu moja ya kula chakula anashuka anakuja kuchukua chake afu anarudi kwenye basi lake.
hata sisi tumeingiwa mashaka na dereva na konda wake. kwa taarifa ni kwamba hawa watu wanapogundua una kitu cha thamani sana wako tayari hata kupoteza fedha kidogo ili mradi wapate chao.
Hilo dili! hivi madereva wa mikoani wapaki gari kwa dk 10 eti wanamsubiri mtu ambapo hata huyo anayemcheki hawamuoni, wamekaa tu ha wapi!!, hao walipanga, huyo jamaa karudi ubungo na simu watauza na kugawana hela tu. Any way sijui lakini.
mpaka sasa kila mtu ktk basi hili anaamini huo ulikua mchongo wa wafanyakazi wa basi na mwizi.
Huyo jamaa ni wa pale pale Ubungo na ukute huo ndio mchezo wao sikuzote, mtu hawezi lipia zaidi ya elfu 60 au 70 ya siti 2, ili akaibe kitu asichojiua atafanikiwa kupata nini siku hiyo, nadhani walimuona wakaamua kumlia njuga. Basi tena ndio hivyo tena.
kwa mantiki hiyo inaezekana hata nauli hajalipa ila konda katupiga changa la macho.
na nafikiri alimfatilia huyo dada kabla hata hajapanda basi.