Habari Wakuu, kuna Swali kidogo linanivuruga, kuna Matapeli huwa wanawapigia Watu Simu na kuwaambia kuna namba wazipige huku akikuelekeza cha kufanya hatua kwa hatu matokeo yake unajikuta salio lote wabeba kama Tigo pesa, Airtel money n.k, sasa nachojiuliza kua Tapeli hawezi kuchukua Pesa yako bila kufanya hivyo... yaani kule kule Mtandaoni akafanya yake kama Tigo wanavyohamisha Pesa kama imetumwa kimakosa kutoka kwa huyu kwenda kwa huyu???
AHSANTENI