Halmashauri ya mji Njombe imekumbwa na kashfa kubwa ya matumizi mabaya ya fedha ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2012/13 hasa kwa miradi ya barabara. Inaonyesha katika maeneo ya mjini zilitengwa Tshs.210,000,000/ kwa barabara zote zichongwe kwa kiwango cha changalawe (kifusi) lakini hadi kufikia sasa wamefanikiwa kuchonga barabara moja yenye urefu wa 1.5 KM kwa jumla ya Tshs.55,800,000/ na fedha iliyobaki ambayo ni zaidi ya shs. 150,000,000/ hazijulikani ziliko.
Pia kuna barabara nyingine za maeneo ya vijijini na kwa bajeti nyingine wamewapatia wakandarasi wasio na vifaa vya kufanyia kazi. mpaka sasa wakandarasi hao hawajaanza kazi yoyote ya ujenzi wa barabara walizopewa.
Katika halmashauri nzima madiwani wote ni wa CCM na waserikali sikivu ya CCM. Je, huku ndio kutekeleza ilani ya CCM na utawala bora? Pengine ni kweli kwenyeilani yao kunakipengere waliahidi kutumia vibaya fedha za walipakodi wa Tanzania hasa za miradi ya maendeleo.
Tutafakari kwa kina mambo haya.