Drama queen
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 157
- 289
Oopss siwezagi Kajieleza kwa maandishi.. Story haijaisha.. Namalizia..kuweni makini
Sikuangalia dear nilikua busy tho nlikua na kahela kadogo na pia nlikua nshalipiwa meals na accommodationKwahiyo tangu siku hiyo hukuangalia kadi yako na amekuibia pesa?
Kbs Barafu uandishi ni kipaji..Habari nyingine zenye umuhimu kama hizi,muwe mnawasilimulia wenye uwezo wa kujieleza kwa maandishi huko inbox ili waweze kuzifikisha kwa ufasaha.
Maana uandishi pia ni kipaji,uandishi na kuandika ni fani
Tht ws bfoOk na mleta uzi anaitwa Drama Queen...
Simu banking ninayo acc ya NMB cjui km NBC inayo simbankingIna maana hujajiunga na huduma ya Sim Banking mbona stori haina sunguraaaaa
Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Cjui alionaje password aaisee cjui inaweza kuwa nlikua mzembe tho alikua ame concentrate kuhesabu hela zake na..wkt anavuta card mm nilikua nazidaka hela nilihisi anataka kuchukua zile hela..Pole
Inamaana wakati unabofya password yako ulimpa nafasi aone kila unachofanya siyo? Hapa kidogo hukuwa makini.
Na wakati anakusaidia kutoa card yako ulikuwa humwangalii? Ulimwachia nafasi kabisa aitoe card bila kutazama kwa makini?
Pamoja na uzembe kidogo uliofanya inaonyesha huyo dada ni mzoefu sana anajua kutumia tricks kukufanya usiwe makini wakati anakusaidia kutoa card.
Aisee pole sana 8m sio hapa.