Djprezzo Member Joined Jul 22, 2013 Posts 17 Reaction score 7 Jan 9, 2015 #1 Ivi Wizi wa power windows na side mirrors umedhibitiwa ama jamaa wako likizo?
String Theory Senior Member Joined Jan 23, 2014 Posts 155 Reaction score 63 Jan 9, 2015 #2 Ukiona hivyo ujue havina soko. watu wakiibiwa wanaenda kununua kipya dukani . zamani tulikuwa tunanunua sana vifaa vya wizi.
Ukiona hivyo ujue havina soko. watu wakiibiwa wanaenda kununua kipya dukani . zamani tulikuwa tunanunua sana vifaa vya wizi.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Jan 9, 2015 #3 String Theory said: Ukiona hivyo ujue havina soko. watu wakiibiwa wanaenda kununua kipya dukani . zamani tulikuwa tunanunua sana vifaa vya wizi. Click to expand... Waliniibia: Power windows Side mirrors Parking lights Walidhani ntaenda Gerezani! Nyambaf zao, kwa Mhindi fasta!
String Theory said: Ukiona hivyo ujue havina soko. watu wakiibiwa wanaenda kununua kipya dukani . zamani tulikuwa tunanunua sana vifaa vya wizi. Click to expand... Waliniibia: Power windows Side mirrors Parking lights Walidhani ntaenda Gerezani! Nyambaf zao, kwa Mhindi fasta!
C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,311 Reaction score 5,727 Jan 9, 2015 #4 slim5 said: Waliniibia: Power windows Side mirrors Parking lights Walidhani ntaenda Gerezani! Nyambaf zao, kwa Mhindi fasta! Click to expand... Kama ambavyo ni ngumu kwa sasa kununua simu za kitapeli na saa, basi hata vifaa vya magari! Wakiiba unaenda dukani directly
slim5 said: Waliniibia: Power windows Side mirrors Parking lights Walidhani ntaenda Gerezani! Nyambaf zao, kwa Mhindi fasta! Click to expand... Kama ambavyo ni ngumu kwa sasa kununua simu za kitapeli na saa, basi hata vifaa vya magari! Wakiiba unaenda dukani directly