Voda wezi na hovyo kabisa. Halafu ukinunua vifurushi viwili vyote viwe na data. Kinatumika kile ambacho umenunua baadaye. Hakuna First in first out. Mfano kama kuna kifurushi cha data kinaishia tarehe 12/10/2022, na kingine tarehe 13/10/2022. Basi kinatumika hicho kinachoisha tarehe 13 badala ya cha tarehe 12 ambacho ndo umenunua kabla ya hicho cha tarehe 13. Wizi mtupu. Maana kuna uwezekano mb’s zako zikafia ndani.
Haya makampuni ni changamoto sana na hawa viongozi tunaowachaguwa wala hawajali kutetea wananchi.