Wizi mkubwa wa pesa za umma Mwenge

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Kumeibuka kundi kubwa la wizi wa pesa za umma Mwenge stand linaloongozwa na kijana anayejiita mwenyekiti wa machinga Mwenge.

Kuna baadhi ya wananchi wanasema jumla ya pesa za wizi wanazochukua Mwenge,kwa mwezi ni zaidi ya milioni kumi tano na zaidi kwa mujibu wa wananchi wa Mwenge huyu kijana Omari anashirikiana na wakubwa kwenye ngazi ya halmashauri kwa hiyo wanaohusika tunaomba wafutilie tuhuma hizi.

Hizi tuhuma zina ukweli kwa asilimia fulani kuna tetesi hata kuzuiliwa kwa wafanyabiashara na wakazi wa Mwenge kupaki magari yao mwenge ni mgongano wa maslayi kati ya huyu Omari na wenzake ambao wamekuwa wanakula pesa za umma kama mchwa.
 
Hapa mwenge pesa za umma zinaliwa kama mchwa,wanakusanya ushuru wa magari lkn pesa haziendi halimashauri
 
Back
Top Bottom