maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,012
- 2,644
Waziri unayehusika na mazingira,
Tafadhali okoa ardhi ya Tanzania kwa kuhakikisha unapunguza uchafuzi wa mazingira kwa taka hatarishi za plastiki na vifaa vya kielekitroniki.
Nina uhakika miaka 10 ijayo ardhi ya nchi yetu haitafaa tena kwa kilimo sababu itakuwa imechafuliwa sana.
Unalipwa na hela za wananchi kwa hiyo tunaomba utekeleze wajibu wako.
Zuiya chupa na plastiki nyembamba, pia ingiza utaratibu wa kuteketeza taka za simu na vifaa vingine.
Kazi kwako