Mkuu hili tangazo lipo website gani ?
Duh kutengeneza viatu? ama kweli Tanzania ya viwanda imekuja kwa kasi bado mafunzo ya kuchonga vijiti.Wizara ya kazi, ajira na Vijana yatangaza nafasi za 1000 ya Mafunzo ya kutengeneza Viatu. Daa Interview ya nini sasa?
View attachment 461646
Mbona unapenda kupotosha, hizo ni nafasi za kazi au nafasi za mafunzo maalumu.?Wizara ya kazi, ajira na Vijana yatangaza nafasi za 1000 ya Mafunzo ya kutengeneza Viatu. Daa Interview ya nini sasa?
View attachment 461646