Wizara ya Afya yakanusha uhaba wa chanjo ya Pepopunda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wizara ya Afya imekanusha habari iliyotolewa na gazeti la Tanzania Daima kuwa kuna uhaba wa chanjo za kinga ya Pepo Punda kwa mkoa wa Dar es Salaam.

C1Kba5RWIAAhq5f.jpg
 
Ni jambo zuri sana kukanusha kabla mamlka haijachukua hatua stahiki ... Angalizo kama unataka usitumbuliwe fuata maagizo na maelekezo huo ufindi na utaalamu wako binafsi hatuuhitaji for 50 yrs utaalaam wenu ndio umetuletea umaskini..
 
Back
Top Bottom