Wizara ya afya na TAMISEMI

darasa7

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
395
Reaction score
61
Hivi haya majina ya vyeo vya watumishi wenu mnayatoa wapi mbona hayaleti maana kabisa mfano:

1-clinical assistant mnamwitaje kwa kiswahili je ni kweli anahasist au anafanya mwenyewe
2-assistant medical officer mnamwitaje kwa kiswahili.hawa hospital zetu huku ndio wafanyaji operation kubwa na ndogo je Nikweli wanatakiwa kuhasist
3-assistant dental officer hali kazalika

Si muwape majina ya maana basi alafu ndio wanaotoa huduma nzuri huku mikoa ya pembe zoni hii inawachanganya hata maofisa utumishi kujua wawapange ngazi ipi wanapolipoti kwa ajira mpya wengine wanawaita madaktari wasaidizi mara mganga msaidizi mara tabibu msaidizi avijulikani kabisa ebu wekeni wazi kwa majina yatayoeleweka EAC.
 
hivi hawa jamaaa humu awamo au bado awajatoka kwa job, nasubili mpaka waje!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…