Wivu wa Mumewe umemponza

Haya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii Afrika

Alasiri

Majira

Dimba

Mawio

Rai

Mtanzania
 
Kuna ile video jamaa wanamla tope mgoni wao...

Chukulia kama additional point.
 
Kasema hivi "POVU RUKSA"

#YNWA
 
Kwani wewe ndio kwanza umeona sahv?
Umeona ndio ufakhari kuja kujisifia hapa!? Wanajamii forum hatusapoti ujinga uliofanya na mwenyewe kujiona ni mjanja! Kumbuka:
1. Wema hauozi
2. Ubaya hausahauliki
3. Mlipaji hafi daima

Malipo ni hapa hapa duniani, subiri zamu yako ya kulipwa ifike...



USWAHILI TUNAITA POVUUUUUUU

#YNWA
 
Uliulizwa kwani, au unafikiri nani haelewi? Vunga basi!
 
".... Maisha yana kawaida ya kutufanya kuhisi ufahari kwa mambo ya aibu..."
Freeman
 
Wewe mzinifu tu, adhabu yako ni kuchimbiwa shimo, kufukiwa hadi usawa wa shingo na kupigwa mawe hadi kufa, ovyo kabisa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…