Wivu wa Mumewe umemponza

Well nimekielewa ila huwa najiuliza mwanaume mwenye akiki timamu unakulaje mke wa mtu halafu uje kihadithia mtandaoni. Mathalani huyo mwanaume anapitia mtandaoni asome hili simu lizi lako si anaunganisha dots tu. Vile vile huyo mwanamke iwe anapitia humu si naye pia anaunganisha dots za simulizi lako! Kuchepuka kupo ila hata nyie wanawake angalieni tabia za mnaochepuka nao. Mara nyingine ni kujishushia hadhi! Yaani mtu anaanika kabisa mpaka muda wanapokutana. Storry ni nzuri ila usiuze ramani mkuu!
 
Mtoa mada umehalalisha tuhuma kuwa ukweli. Hii ni sawa na kula tunda kimasihara.

Siku mwenye mke akikugeuza bucha wala usije kujutia. Kuhusu wivu kwa mkewe ni haki yake kuwa hivyo - Hakuna mapenzi yasiyo na wivu.
 
Tunasubir uoe.
 

Umeamua kumalizia maisha yako ya uzeeni kwa kuambukiza wake za watu ukimwi , rest in peace .
 
Bwege sana wewe
 
Dua la kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mtoa mada hata sio mtumishi wa hiyo idara, yuko kwao anaangalia tv ambayo baba kalipia anasubiri mama apike ugali ale aseme asante mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…