Wivu wa kupitiliza unaboa

Zombie wangu siku moja nikajifanya kumuuliza ni nan huyo kakupigia simu?eti nae akafurah nakuniambia kumbe una wivu baby eeeeeh!!!!!
Angejua..........lol

Hahaaa nimechekaje..........,kwenye angejua lol!!!!!!!1
 
Wivu kiasi unogesha mahusiano lakini wivu kupindukia ni sumu kali sana kwa wapendanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…