Wivu unanimaliza!


Aiiiseee.....kumbe ni tatizo nitakufollow PM unisaidie kwa hili lkn me naona raha kuonewa wivu
 
Last edited by a moderator:
Nimpate wapi mtu kama wewe,mana nilienae hata hana wivu mbaka nahisi kama sipendwe vilee!! Wivu raha sana ila naomba umpunguzie kidogo huyu wangu ili nami niienjoy
 
Nimpate wapi mtu kama wewe,mana nilienae hata hana wivu mbaka nahisi kama sipendwe vilee!! Wivu raha sana ila naomba umpunguzie kidogo huyu wangu ili nami niienjoy

Usiombe ukutane na mwenye wivu, yani sikia tu kwa mwenzio....inakera, inachosha, unakuwa kama mtumwa.
Usiombe shost.
 
Pacha wako yupo nyumbani kwangu,tofauti yenu yeye anaongeza mnuno juu.
Kiukweli mnaboa na mawivu yenu halafu ukizingatia mtu hafikirii hata kukucheat ILA ndo mlivyo na ndo tumeshapenda sasa tutafanyaje!!
 
Duh kumbe tuko wengi,
mm pia nna tatizo kama lako.
Nakumbuka tangu mwaka 2005 nilipomfumania girlfriend wangu ambaye tulipendana na kuaminiana sana
,tangu wakti huo sina imani na msichana yeyote na nmekuwa na wivu sana mpaka nmekuwa kero kwa msichana nliyekuwa naye!Mpaka tumeachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…