Wivu umeniponza

Yan nikuhudumie kwa kila kitu bado biashara nikufungulie ukiumwa natake care kila kitu mpaka watoto wako bado unifanyie hivi.? Aseeeh nikifumua marinda nitakua nimekosea.? Daah vitu vingine vinahitaji moyo sana.

Mkuu wewe hujamuonea wivu ulikua unatimiza wajibu wako. Sema tu wewe una roho nyepesi mnooo. Aseeh mi havibebeki nitapiga mpaka nikalale cello. Hawa viumbe siyo wa kuwachekea. Pole brother, umejifunza
 
Mwanaume siku zote ni kichwa cha familia lakin wewe umekuwa mkia. Mwanaume siku zote ndiyo msemaji mkuu wa familia lakini wewe ni tofauti.Umehudumiaaaa mpaka mfuko utoboka na bado unamlilia mwanamke kama huyo. Wewe siyo mpumbavu tu bali umekuwa ni zuzu kabisa.Piga chini acha uzuzu wa kunyenyekea mwanamke tena aliyezalishwa na dume lingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakupendi huyo kashapata bwana mwingine...kila wanawake hatuna akili kuda mwingine,sijui nani katuloga. Umemfungulia biashara yet anakuomba ela ya kodi hilo duka anauza kwa hasara? Au hafanyi biashara? Aisee njoo kwangu tu kama mambo yenyewe ndio hayo
 
Kabila gani huyo?
 
Hahah...

Tafuta mwingine wa kumlipia kodi ya nyumba tena ya ghorofa...
 
Afadhali umpe pumziko la moyo kijana wa watu, nimejikuta namhurumia asee.
 
Pole huyo siyo mwanamke wa kumsaidia yani umemkuta kazalishwa bado analeta nyodo chakufanya mfikisi na umuwekee vikwazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo kwangu na mie unifungulie biashara ntakupenda kiroho safii bila masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…