Wivu umeniponza

Nakushauri achana na jimama lolote lile. Na kama ukipenda jimama mpe mitihani migumu akipasua ujue huyo aliachwa kwa bahati mbaya ila ukiona pasua kichwa mwache aende zake.
 
Mi niwe mkweli sijawahi hata kuhonga 50000 tsh au kumpa mdada. Nasubiria mkee ndie atakula maisha ila hivi hivi labda ya kusukia tena kwa binde
 
Dah...we jamaa bana wa ajabu sana....mosi Unahonga 4.5 m..kwa mwanamke..
Pili huyo mwanamke hakupendi achana nae....anakutumia tu
 
Kama umefanya yote hayo na hauna nyumba yako unamiliki.. jipige vibao vya usoni ulie.
Mim nna nyumba gari na biashara alaf nna mwanamke wa mazingira kama hayo inakuaje apo,,,ushauri
 
Aisee kaka Wang mim Yuko hivo na nimetengana nae sasa yapata miez 6 hkn mawasiliano yoyote ila kwao wananiita niende lkn wazaz wang wamesema nisiende,,yaan APA nimelewa
 
Pole sana rafiki yangu, wanawake sie Mungu anatuona! Yaani huwa hatuwathamini wale watupendao kwa dhati!


Kwa ushauri, achana naye tu, utampata alie sahihi kwako! Huyo mwanamke ni muovu!
 
Naisi.sasa hivi vyuma vimekaza ehhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…