yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Daa...! wivu huu hatari mno, hivi uliwahi kuambiwa na your lover kuwa anajisikia vibaya anapokuta simu yako ipo busy...? sasa sikiliza hii, jamaa angu mmoja alikuwa na mpenzi wake ambaye kiukweli alikuwa ame fall in love kinoma, yaani yule kadadaa alikuwa hapendi kabisa simu ya jamaa iwe busy hata siku moja, hata akiikuta kwa bahati mbaya,jamaa lazima awe na kesi ya kujibu kwa mpenziwe, basi jamaa akawa anawaza namna ya kufanya, baada ya kufikiri sana kaona bora aweke huduma ya waiting call. lengo la jamaa ilkuwa endapo atapigiwa simu atajua. Basi yule mdada hakuiishia hapo akamforce jamaa afute namba zote za wadada kwenye simu yake, pamoja na hayo yote kadadaa akamtaka jamaa kila anapoigiwa simu wakiwa wote lazima aweke loudspeker, haikuwa kazi rahisi kwa wadada wengine kuongea na jamaa zaidi ya dakika 3...!JAMAA akaniomba ushauri et afanyeje me nikamwambia aachane nae kwani msichana yupo yeye mweyewe...? ET wadau nyinyi mgemshauri vipi jamaa..? NAOMBA KUWASILISHA....