Wivu kwa mchepuko

Fastaaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
575
Reaction score
855
Wasalaaam,

Hii inatuhusu wanaume tuu, hivi ulishawahi kuhisi wivu kwa mchepuko? yan unajua kabisa kuwa yule mwanamke namgonga tu afu bhaaas, ila ukisikia amegongwa na mwingine unaumia?

Mana jana nimekalishwa kikao, nimemuiba dada mmoja mpangaji mwenzangu, yeye ndo kayataka, kajisogeza me nikala, sasa kuna mshkaji anafikaga hapo kwa siri (inasemekana ameoa so anamkula bidada kwa siri kumbe), kumbe kajua nami nimekula. Aisee anatamani hata kujiua yaan, eti kikao na mwenyenyumba.

Nani ameshawahi kumlinda mchepuko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahah ni majanga aiseeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi lakini baada ya kuonja yaliyomo yamo?
Au ndo ilikua tia maji tia maji kina kirefu?

Maendeleo hayana chama
 
hasa pale mchepuko anapomzidi mke kwa utamu
 
Kazi kwelikweli

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Ukipita mbuga ya wanyama ya Mikumi kuna mnyama anaitwa Impala... Dume la Impala utalikuta na majike 30, sasa atokee kidume kingine mwenye ugwandu apande jike moja!! So huu wivu ni natural aisee... Huyu dume mpaka mating season ikiisha anakuwa amekondaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] uroho utakuja kutuua
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…