Wivu katika mapenzi

Juan junior

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
119
Reaction score
20
Wadau the great thinkers polen kwa majukumu. Je kuna faida na hasara gani ukiwa na wivu kwenye mapenzi?
 
Wivu ni nini?wivu ni emotion kama ilivyo kupenda na kutokupenda

je tunachagua kuwa na wivu au wivu unakuja wenyewe?
wivu unakuja tu wenyewe....

sasa kama unakuja tu wenyewe tunaweza kuu control?
yes some can....but not all....
 
faida ni kwamba unaonesha unapenda na kujali...hasara ni kwamba ukizidi unaonekana punguani, then kuharibu uhusiano
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…