Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
Human being are selfish in nature ndio jipu.... Lakin pia ukiwa na mda ckiza ngoma ya fid q ft Christian Bella roho utapata sababu nyingine pale anapoimba kimalkiaHabari JF...hua nashindwa kuelewa kabisa pale ambapo a man anakua na wivu like hataki uchat na other males friends....mara anauliza unavaa hivo ili huko njiani utakwe au...yani visa visa tu vya wivu ambavyo hupelekea yeye(mwanaume) ku get mad...same applies to other women...(wenye wivu)
Is it kusaabu anavyokugharamikia ndo kinamchoma au???
Au ni vile tu selfishness???
Au basi tu aonekane anajali??
Mapenzi ya kweli au???
Nmeshindwa kupata jibu...em tujadiliane....
NB:sijasema hizo ni tabia za my man NAH...[HASHTAG]#najihami[/HASHTAG]
Vichambo vinaruhusiwa...
Nimezoea neno 'kusaabu" sihitaji kurekebishwa kune hilo[emoji41] ...and yes "kune" pia nimezoea but its kwenye ikr[emoji41]
Haya twende kazi....
Anha duuu sawa lemmy download it sa hii sa hii[emoji126][emoji126][emoji126]..Human being are selfish in nature ndio jipu.... Lakin pia ukiwa na mda ckiza ngoma ya fid q ft Christian Bella roho utapata sababu nyingine pale anapoimba kimalkia
Kumbeabiria anachunga mzigo wake ukizubaa tu huna chako
Nishatangulia kule MMU cjakuona...Tangulia.
I guess hio ni sana...Umiliki na ubinafsi, hakuna la ziada!.
Kwani huwezi onesha mapenzi bila wivu???Wivu katika mapenz unaonyesha jinsi gani mwenzi wako anavyokupenda, ukiona hana wivu ujue kakuchoka
anahofu majamaa wasije wakafanya yao alafu unamuaminisha huyu rafiki yangu tu hakuna chochote kinachoendeleaKumbe
Hehe duuu mwanaume kujiamini buana...na mapenzi ya ku doubt-iana si mazuri pia...anahofu majamaa wasije wakafanya yao alafu unamuaminisha huyu rafiki yangu tu hakuna chochote kinachoendelea
Mmm i doubt that pia...but ushasikia kua sometimes watu wenye wivu wanakua wao ndo waovu..so dizain ka wanajihami ili yao yacjulikane...!
!
Aisee hata mimi sijui ila huenda wivu ukatokana na mapenzi mazito...sijui nahisi hivyo
Binadamu wengi ndivyo tulivyo kwenye chako lazima uwe na wivu, hata kama hutoongea ila moyoni itakuwa inakuuma flani hivi.... Mfano Mimi ni mpenzi wako ukanikuta nachati mda mwingi na wadada, how would you feel???Kwani huwezi onesha mapenzi bila wivu???
Hehe hilo nalo neno...kooo watu wenye wivu are likely pia kua wachoyo kune vitu vingne vya kimaisha sio...Ni uchoyo tu... Hakuna lingine
Hehe duuu mwanaume kujiamini buana...na mapenzi ya ku doubt-iana si mazuri pia...
[emoji38] hilo nalo neno...ni kweli kabisa ila inategemea na wewe kwake unakuamini wewe kwa asilima chache ama vp ila sio wote tuko hivyo mwingine anadukua au hack simu yako ili apate sababu tu ya kukupiga chin