Umeshajua tatizo lako, kazi kwako. Kujua tatizo ni nusu ya kutatua tatizo.
Namba ya simu uliyoweka ni ya makampuni ya ulinzi,zilitolewa katika siries za staff wa kampuni ya 0713
zote zilianza na 123.. baada ya code
sasa kwa hasira hizo na kampuni zenu si utakuja kuua kwa kirungu?
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu. Hayo ni maneno kwenye kitabu kitakatifu.
Je tangia umeanza kuwa na hasira imekusaidia kutatua matatizo au kuongeza? Hapo unajitaftia matatizo yasiyo na lazma. Jifunze kukubaliana na hali zilivo na kutokupaniki
mtukundishe kufanyaje
haha aiseee unatia huruma
I second you...well said
ngoja mi nijaribu kama ntawezanifundisheen
ngoja mi nijaribu kama ntaweza
asira-hasira
adi-hadi
mke angu-mke wangu
watotoo angu-watoto wangu
yani wewe, huna huruma kweli..si unajua ana hasira, unaweza kuta amefura huko aliko na mtu ameshapata kibano, cause hiyo hasira yake najua sio kwa gf peke yake