Wito wa Rais Magufuli kufunga mkanda

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Mheshimiwa, naomba nikukumbushe kuwa mikanda tuliyofunga wakati wa Mwalimu Nyerere vita ya Idd Amin, mpaka leo haijawahi kufunguliwa. Actually hakuna tumbo la kuweka mkanda unaoupendekeza.
 
Yaan post yako niliifungua kwa shahuku nikidhani kimepostiwa kitu cha maana kweli..kumbe looo.haya bana
 
Mheshimiwa, naomba nikukumbushe kuwa mikanda tuliyofunga wakati wa Mwalimu Nyerere vita ya Idd Amin, mpaka leo haijawahi kufunguliwa. Actually hakuna tumbo la kuweka mkanda unaoupendekeza.
Mkanda waliombiwa kufunga ni mawaziri kwa kuwa walizowea kila mtu akipata nafasi ya uwaziri basi hujiona yeye ni mungu mtu sasa sijuwi wewe ni waziri wa wizara ipi?
 
Back
Top Bottom