Wito wa kususia mikutano ya kampeni ya CCM

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
287
110
Salaam Wana JF, kutokana na uongozi mbaya wa CCM kwa miaka yote tangu uhuru, hivyo kuonekana kushindwa kuleta maendeleo kwa wananchi wake.Natoa wito wa kuanza kususia kuhudhuria mikutano yao ya kampeni. Zoezi hili liambatane na kuwanyima kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Kila mmoja awahimize ndugu na jamaa zake mjini na vijijini kususia mukutano yao na kuwazomea popote wanapo onekana.
 
Issue hapa siyo kususia mikutano na kuzomea, kujaza kwenye mikutano haimaanishi ndiyo umeshinda kura. Issue ni kupigia UKAWA kura na kuhamasisha ifinyike hivyo
 
Jifunzeni jambo dogo tu!

CCM haiko madarakani kimiujiza, bali iko kwa mujibu wa sheria.

Watanzania wanaona nini CCM inawafanyia linapokuja suala la maendeleo, ndio maana wanazidi kuipa CCM ridhaa ya kuwaongoza tena na tena. Ni mwehu tu anayeweza kusema CCM haijafanya kitu toka UHURU.
 
Kwa kuiba kura
 
Back
Top Bottom