Ndg Motoya Mbongo usikate tamaa,wanaowataka UKAWA warudi sio wananchi,ni watumwa wa ccm.Wananchi wanaiunga mkono ukawa ila hawana nafasi ya kutoa matamko
weston unafaidika nini na huu uharamia unaofanywa na ccm wa kubaka mawazo ya waTanzania? jaribu japo kidogo kutafakari.wananchi gani wanaoiunga mkono ukawa?
Ndg Motoya Mbongo usikate tamaa,wanaowataka UKAWA warudi sio wananchi,ni watumwa wa ccm.Wananchi wanaiunga mkono ukawa ila hawana nafasi ya kutoa matamko
Mkuu, kwani wananchi wote si wana hatua yao muhimu ya kufanya maamuzi juu ya katiba mpya ambayo ni referendum? Iweje sasa uhamasishe waingilie kazi za bunge?
wananchi gani wanaoiunga mkono ukawa?
wananchi gani wanaoiunga mkono ukawa?
Labda sio Watanzania! Hata CCM wawawekee vijiti machoni wataendelea kupeta tu, hawana mda. Chukulia mfano, kila mtu anawataka Ukawa warejee Bungeni, lakini hakuna aliyewakemea CCM kwa kuleta maoni ya Chama bungeni, Yani usuluhishi wa kukomalia Ukawa tu, CCM no!